We have updated our Privacy and Cookie Notice to keep you informed where we may process your personal data. See more here or contact us for more information.

RAISING THE BAR TANZANIA

Shukrani kwa kutuma maombi ya kutaka kujiunga na Mpango wa Kuinua Bar unaoshirikisha bar zilizoko katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.

Mpango huo umesaidia kuongeza imani kwa wateja kuhusu afya zao wanapokuwa katika bar kupitia utoaji elimu kwa wamiliki wa bar pamoja na vitendea kazi kama vile meza, viti, maturubai (Gazebo) na vyombo vya kunawia mikono.

Raising the bar